GOAL! Chelsea 1-0 Hull City (Oscar, 13 min)
Huku Goli la kwanza lilifungwa na Oscar katika dakika ya 13
Na goli la pili likifika na Frank Lampard katika dakika ya 25
baada ya Torres kufanyiwa madhambi na lampard kupiga faulo hiyo iliyopelekea kupatikana kwa goli la pili

Jose Mourinho's akishangilia goli baada ya mchezaji wake Oscar kupachika goli
0 comments:
Post a Comment