Connection

Services

Computer Maintanance

Computer Supply

Laptop Repair

Networking Installation



Learn more

Wednesday, 28 August 2013

Filled Under:

HABARI

Share
BAADA YA KUANGALIA PICHA HIZI NATUMAINI UTAIYOMBEA NCHI YAKO ISIJE KUTOKEA KAMA KILICHOTOKEA HUKO KWA WENZETU

Picha hii ilipigwa Sudan wakati wa njaa kali miaka kadhaa iliyopita. Huyo mtoto alikuwa anatambaa kuelekea walipo watoa misaada wa mashirika ya UN, na akawa anazidiwa kutokana na njaa kali, huku huyo tai akiwa standby anamsubiria afe ili aanze kufaidi mzoga. Mpiga picha wa picha hiyo inasemekana alikuwa ni Mwingereza, ambaye baada ya kukishuhudia hicho alichokiona hapo, na kupiga picha hiyo, alijinyonga kutokana na msongo wa mawazo.

 
mpiga picha alimuacha na kuondoka bila kumsaidia huyo mtoto, baadaye ikajulikana kuwa huyo mtoto alikufa na kuliwa na huyo tai. habari hii ilipoenea na mpiga picha alishutumiwa sana na wanaharakati na hata mchumba wake waliyetarajia kufunga naye ndoa alimkataa kwa kusema hataki kufunga ndoa na mtu katili kama huyo! hayo mashutumu toka kwa watu mbalimbali yalipomzidi alijuiua kwa kujinyonga! mpiga picha huyo anaitwa kevin carter
huyu hapa chini



 






Baada ya njaa kuzidi aliamua kula kinyesi cha ngamia 



Huyu aliamua kuoga kwa mkojo wa ngamia

Huyu alizidiwa ilibidi wamtundikie drip

0 comments:

Post a Comment

2014 © Movieism
RealMag theme by Templateism