Filled Under:
VIDEO
Monstar feat Big Jay P & Jim Jay - Nimefika
Baada ya kufanya audio ya nyimbo yake ijulikanayo kama nimefika iliyofanya vizuri katika radio station mbalimbali nchini ameamua kuwaletea kwenu video yake na huyo si mwingine ni monstar akisindikizwa na big jay p &jim jay
0 comments:
Post a Comment