Connection

Services

Computer Maintanance

Computer Supply

Laptop Repair

Networking Installation



Learn more

Monday, 14 October 2013

Filled Under:

STORY

Share

ROMANCE WITHOUT SEX (4) SEHEMU YA NNE


Ilipoishia sehemu ya Tatu.................................
Nakumbuka siku hiyo ilikuwa jumamosi nikiwa nimepumzika zangu nyumbani nyakati za jioni mara kidogo simu yangu ya mkononi ikaita kuangalia kwenye kioo nani aliyekuwa anapiga alikuwa ni sarah nikapokea’
Hallow’ sarah,
Sarah…. Tinna uko wapi?
….Nipo nyumbani,
Sarah …samahani tinnah nina matatizo hapa, nahitaji uje unisaidie nipo huku mjini katika bar ya Jb yaani hapa nimelewa naogopa kuondoka peke yangu njoo unichukue samahani kwa usumbufu rafiki yangu,
Nikajifikiria nikaona nikimkatalia haitakuwa vizuri atakuwa amelewa sana nikavaa haraka haraka nikatoka na kuelekea hadi katika ile bar kufika kweli nikafanikiwa kumkuta na kwa jinsi nilivyomuona alikuwa amelewa sana
Akaniambia….. nashukuru rafiki yangu umekuja karibu na wewe upate japo beer moja...
INAENDELEA SEHEMU YA NNE
…..Hapana mimi huwa situmii pombe na wala sihitaji kinywaji chochote twende tuondoke,
'' akasema haya' nikamnyanyua ili tuondoke alikuwa amelegea sana mara kidogo mhudumu akatokea akaniambia huyo inabidi tumpatie kinywaji cha kukata kilevi ili muweze kuondoka naye hapo atakushinda nikakubaliana naye, nikakaa chini ili aletewe hicho kinywaji akaniuliza na wewe utatumia kinywaji gani wakati unamsubiri mwenzio nikamjibu maji tu yanatosha,
 Yule mhudumu aliweka madawa ya kulevya katika maji nilipoletewa nikayanywa bila kugundua baada ya kama dakika 10 sarah akaniambia naomba uchukue elfu 25 zipo katika hii pochi ukalipie chumba kisha unipeleke tu nikalale rafiki yangu siwezi kwenda nyumbani nikaona sio wazo baya nikaenda mapokezi nikalipia chumba
nikamwomba Yule mhudumu aje anisaidie kumshikilia twende naye katika hicho chumba akakubali basi tukasaidiana kweli na kumfikisha katika hicho chumba nilipomlaza kitandani akaniomba tulale wote alafu kesho tuondoke wote, nikamwambia haitawezekana kwa sababu deo hajui kama nimekuja huku na akijua atachukia, mara ghafla simu yangu ikaita ni deo alikuwa ananipigia
Akaniuliza.. uko wap mpenzi wangu?
 nikamjibu nipo kwa rafiki yangu sarah?
Utarudi saa ngapi maana nina hamu kweli ya kulala na wewe siku ya leo?
Nikamjibu kwa leo itakuwa ngumu kwa sababu rafiki yangu anaumwa kwa hiyo nitalala naye,
Akajibu sawa..
Haikupita dakika 20 nikiwa nimejiegesha pale kitandani nikaanza kujihisi kichwa kimekuwa kizito na usingizi mzito unataka kunijia nilipojaribu kunyanyuka nilishindwa nikagundua kuna kitu nimewekewa katika yale maji niliyokunywa mara ghafla niliona mwanaume akiingia sikuweza kumtambua ni nani nilijitahi sana kumwangalia lakini ilishindikana nilichosikia ni sauti tu 
nafuraha kuwa hapa na wewe tinna, hakuwa mwingine alikuwa ni Aron niligundua sauti yake sikuweza kumjibu nilichoona alianzaa kuvua nguo zake na kunifuata pale kitandani akanivua nguo zote nikabaki kama nilivyozaliwa kwa ukatili wa aron akanipanua miguu yangu na kuanza kuniingizia uume wake lakini hakuweza kufanikiwa kwani nilikuwa mkavu kabisa ukeni,
hali hiyo ilinisababishia maumivu makali sana yeye hakujali nikasikia mwenzake akimwambia chukua haya mafuta ky jelly mpake huko ukeni itaingia tu,
 aron akashuka pale kitandani na kuyafuata yale mafuta aliporudi akaanza kuniambia nisikilize tinna halikuwa dhumuni langu kukuingilia bila ridhaa yako ila nimefanya hivi kwa sababu umenisumbua sana ungenikubalia wala yasingetokea haya yaliyotokea
huku akichukua mafuta katika kidole chake na kuanza kunipaka na mengine kuniingizia huko ukeni alifanya hivyo kwa muda wa dakika kama tano na uke wangu ukaanza kutoa ute ute wa kulainisha njia alivyoona hivyo akaanza kuniingilia alinifanya hadi hamu yake ikaisha nikasikia kama kuna mwingine anataka kuja kuendelea aje ruksa, 
sauti nzito nikaisikia mimi hapa nafuatia akaja mwenzake pia akanifanyia hivyo hivyo bila hata ya kuvaa kondom hadi kufikia wa mwisho sikujua ni wanaume wangapi walinibaka hali yangu ilikuwa mbaya nikapoteza fahamu, wakanipiga picha katika tukio lile na kumtumia mpenzi wangu deo alipozipata picha hizo akapiga simu yangu lakini sikuweza kupokea kwa sababu nilikuwa nimepoteza fahamu........
ITAENDELEA
 
 
 

0 comments:

Post a Comment

2014 © Movieism
RealMag theme by Templateism