WENGER AANZA VIBAYA LIGI KUU ENGLAND, AFUMULIWA 3-1 NA VILLA NA MAJERUHI WAONGEZEKA Hii presha hadi lini
IMEWEKWA AGOSTI 17, 2013 SAA 3:21 USIKU
KOCHA Arsene Wenger ameanza vibaya Ligi Kuu ya England baada ya kuchapwa mabao 3-1 na Aston Villa Uwanja wa Emirates leo.
Kocha huyo Mfaransa amesaini mchezaji mmoja tu ambaye pia ni majeruhi baada ya kutemwa wachezaji 17.
Wachezaji wawili wa Arsenal, Keiron
Gibbs na Alex Oxlade-Chamberlain walilazimika kutoka nje kipindi cha
kwanza baada ya kuumia na Christian Benteke alikuwa kinara wa ushindi wa
Villa.
Benteke alifunga mabao mawili katika
dakika za 21na 60 wakati bao lingine lilifungwa na Luna dakika ya 84,
wakati Arsenal ilitangulia kupata bao dakika ya tano kupitia kwa Olivier
Girous.
Kikosi cha Arsenal kilikuwa: Szczesny,
Sagna/Podolski dk90, Koscielny, Mertesacker, Gibbs/Jenkinson dk5,
Wilshere, Ramsey, Rosicky, Walcott, Chamberlain/Cazorla dk5 na Giroud
Villa: Guzan, Lowton, Vlaar, Baker/Clark dk7, Luna, El Hamadi, Westwood, Delph, Agbonlahor, Weimann/Bacuna dk88 na Benteke,
VIDEO Kaangalia chini Paul Lambert: Agbonlahor na Benteke

Neat finish: Arsenal's Olivier Giroud, left, opens the scoring

Arsenal v Aston Villa possession stats - taken from MailOnline's new Match Zone

Sharp shooter: Giroud celebrates his goal

Saved: Arsenal's Wojciech Szczesny keeps out Benteke's penalty...

... but Benteke heads home the rebound

Bloodied: Arsenal's Kieran Gibbs lies on the floor with a cut head after a clash of heads with Villa's Andreas Weimann

Setback: Gibbs is escorted off the pitch with a head injury

Heads up: Villa's Ron Vlaar, second right, clears the ball

Committed: Arsenal's Tomas Rosicky, below, tackles Villa's Karim El Ahmadi

Controversy: Santi Cazorla, Per
Mertesacker and Wojciech Szczesny cannot believe that referee Anthony
Taylor has awarded a second penalty

Splash the cash: An Arsenal fan sends a clear message to Wenger

Hii presha hadi lini jamani
0 comments:
Post a Comment