Connection

Services

Computer Maintanance

Computer Supply

Laptop Repair

Networking Installation



Learn more

Wednesday, 28 August 2013

Filled Under:

STORY

Share
HUYU NDO BIG MAKOPA MSANII ALIYEFANYA NGOMA KAMA DONA NA  GOODBYE AMETOA SIRI NZITO KUHUSIANA NA  PRODUCER MR T TOUCHER SOMA HAPA

ALIFANYA MAHOJIANO NA piponetwork.blogspot.com
HIVI NDIVYO ALIVYO FUNGUKA NAKUSEMA KUWA 

BIG MAKOPA :  Mr T Touche yeye niproducer ambaye mkali sana na anajua nini anachokifanya katika utengenezaji wake wa mziki pia nimtu ambaye yupo peace kwa kila mtu hagana tabia za kujisikia no, Namshuku bro BLACK CHATA A.k.A BLACK RHYNO ambaye yeye nimtu ambaye amenipeleka pale studio Seductive Records pia namshukuru mama yangu kwakunipa sapot,na watu wote ambao wana nipaga sapot za hapa na pale,hii ndo siri kubwa hachagui watu wa kufanya nao kazi, kwa  yeyote yule anayependa kufanya naye kazi anafanya naye kama anamapungufu pia anamsaidia 

PRODUCER MR T TOUCHER AMETENGENEZA NYIMBO NYINGI HIT KAMA YA BLACK RHYNO – MKE MWEMA,NEY WA MITEGO AND DIAMOND – MZIKI GANI{SALAM ZAO} NA NGOMA NYENGINE NYINGI TUU HIVI SOON PROJECT YA BIG MAKOPA {BIG JAY P} NGOMA YAKE IKIWA TAYARI MTAFAHAMISHWA HAPA HAPA CLASSIC PIPO COMUPUTER NETWORK

0 comments:

Post a Comment

2014 © Movieism
RealMag theme by Templateism