Connection

Services

Computer Maintanance

Computer Supply

Laptop Repair

Networking Installation



Learn more

Wednesday, 2 October 2013

Filled Under:

Share

LIVE MATCH:UEFA CHAMPIONS LEAGUE: SHAKHTAR DONETSK 1 v MANCHESTER UNITED 1

Danny Welbeck anaipatia bao Manchester United dakika ya 18 Baada ya kupata pasi safi kutoka kwa Fellaini na kufanya United waongoze kwa bao 1-0 dhidi ya Shakhtar Donetsk. baada ya dakika ya 76 Taison aliipatia bao Shakhtar Donetsk na matokeo yakaishia moja moja


LIVE MATCH:UEFA CHAMPIONS LEAGUE : MANCHESTER CITY 1 vs BAYERN MUNICH 3

 
Mchezaji matata wa Bayern München Franck Ribéry anaipatia bao timu yake Bayern München  

 dakika ya 7  

Mchezaji wa Bayern Munich Franck Ribery akiachia shuti kali na kuwafungulia bao la mapema


Kocha wa Manchester City Manuel Pellegrini akishangaa timu yake wakati inafungwa bao na Bayern
Bayern wanapata bao la pili kupitia kwa Muller dakika ya 56
Bao la tatu limefungwa na Ribery dakika ya 59.
  Franck Ribéry (kulia) akishangilia bao lake dakika ya saba.
Dakika ya 79  Alvaro Negredo anaipatia Manchester City goli la kwanza na mchezo kuishia moja kwa tatu.

0 comments:

Post a Comment

2014 © Movieism
RealMag theme by Templateism