Filled Under:
MAPENZI
Sababu 7 kwanini mwanamke hataki ku sex na wewe.

Kutokana na takwimu za kitaalamu, Inasemekana inachukuwa sekunde 30 tu
kwa mwanamke kuchukua uamuzi wa ku sex na wewe au kuto sex na wewe.
Kwanini nasema ni sekunde 30?
Inafahamika kuwa wanawake huweza kubadili mawazo yao haraka kuliko
kutamka neno haraka, Na hii ni kwasababu msichana/mwanamke anakuwa
anatongozwa na wavulana wengi kwa wakati mmoja kwa miaka mingi sasa na
yeye inamchukuwa mda kidogo wa kuku ali au ku kataa kuwa na huyo
mvulana. Na hii ndiyo huwa wana iita "female intuition".
Unaweza ukajiuliza kwa nini hasa wanawake wanauwezo wa
kukataa/kubadilisha mawazo mapema hivyo kuliko wavulana na wavulana huwa
hawajali? Nikutokana na mvulana hana umbile ambalo linapelekea msichana
amuone na kutamani kufanya naye mapenzi kam ailivyo kwa wasichan akuwa
na maumbile ambayo huleta matamanio kwa mvulana kuhitaji kufanya se.
Hizi hapa ni sababu 7 ambazo kwanini msichana hataki kufanya sex na wewe.
Kujiamini: Baada ya kuangalia juu ya kuwa mvulana hana mvuto wa
kumsababisha msichana atamani ku sex naye, Kitu kinachosababisha umpate
au usimpate ni kujiamini, Kwa mvulana kumsalimia tu mvulana nitayari ya
kuonyesha una uamini. Msichana hayupo tayari kupanda kitandani na
mvulana ambaye hajui anafanya nini. unaweza ukauliza juu ya wavulana
ambao wana-aibu. Wao wanatakiwa kutumia hata kioo kwaajili ya kutafuta
kuondoa aibu kwa kufanya mazoezi ya approaching. Elewa msichana yeyote
humzarau mvulana ambaye anashindwa kujiamini.
Maneno yako: "Hatupendi mvulana anaye tongoza huku haelekei kwenye main point"
maneno ya wasichana. Sababu nyingine ni kutokuwa na maneno ambayo
hayaja nyooka. Kuwa na story zilizo pinda pinda. Unatakiwa uwe unaongea
kama mtoto mdogo vile anapokuwa akitoa taafifa ili kuweza kusaidiwa
kwenye kumpata mpezi umpendaye.

Muonekano: Tunapoongelea muonekano huwa kunauchunguzi wa mambo
mengi. Je unapokuwa unaongea naye unamtazamaje?, Je huwa una vaa namna
gani?, Unatembea na kina nini? na wakati mwingine mfumo wako wa maisha
upo jinsi ipi? Hakikisha unakuwa Nadhifu (Sio kwa kuwa sharo baro/Yoyoyo!), Kuwa na muonekano nadhifu na wakujali ambao hautamkera msichana.
Tambua hisia zake: Wasichana sio kama wavulana, wavulana huamsha
hisia za mapenzi mapema, lakini msichana kama yupo kwenye siku mbaya ya
kukwazwa, kuuziwa, onyesha tabasamu na utambuwe namna ipi ya
kumburudisha ili kufurahisha moyo wake. Ujue ni wapi ambapo unaweza
kumfurahisha.
Kuwa mtu wa Romantic: Aina yote ya utani na ucheshi mzuri
utakuweka wewe kuwa rafiki wa karibu na mpenzi wako na afurahiye maisha
ya kuwa na wewe. Kuwa mtu wa kumjali kila mara, taka kujuwa haja zake
kwa kumuuliza maswali mazuri na sio kumkaripia kila mara. Kama wewe ni
asiliyako kuwa wa Romantic ionyeshe kwa uhalisia na umliwaze kila mara.
Onyesha/Ishi kwa uhalisia wako: Usijibadilishe ili mpenzi wako
akukubali kwa kujipodowa au kujiweka tofauti na uonekanavyo zaidi ya
kumpenda. Mvulana yeyote anaye tazamia jinsi yeye alivyo ni mvulana
ambaye kila mwanamke anampenda kwakuwa haonyeshi dalili ya mabadiliko.
Usione haya kuongelea juu ya madhaifu yako kwa mpenzi wako, Maovu/Mambo
ambayo wewe huona sio mazuri lakini unayafanya kama Ulevi, Uvutaji nk.
Hii hukusababishia kupata msaada wa mabadiliko kutoka kwa mpenzi wako.
Msikilize mpenzi wako: Inatosha.
0 comments:
Post a Comment