ARSENAL YATWAA TUZO YA MWEZI, NI WENGER NA RAMSEY!

Arsene Wenger ndie alietwaa Tuzo ya Meneja Bora na Aaron Ramsey kuzoa ya Mchezaji Bora.
Arsenal walianza Msimu huu wa Ligi kwa
kichapo cha Bao 3-1 Nyumbani kwao Emirates mikononi mwa Aston Villa
lakini baada ya Mechi hiyo wameshinda Mechi 5 na Sare moja.
Katika Mwezi Septemba, Arsenal
wamezifunga Tottenham Hotspur, Sunderland, Stoke City na Swansea City na
kutoka Sare na West Bromwich Abion huku Aaron Ramsey akifunga Bao 4.
Mbali ya kushinda kwenye Ligi, Arsenal
pia walishinda Mechi zao mbili za Kundi lao la UEFA CHAMPIONZ LIGI dhidi
ya Marseille na Napoli.
Mwezi Agosti, Tuzo hizi zilitwaliwa na
Brendan Rodgers, Meneja wa Liverpool, na Straika wake, Daniel Sturridge,
ndie alikuwa Mchezaji Bora.
Kwa sasa Ligi Kuu England imesimama kupisha Mechi za Kimataifa na itarudi kilingeni Oktoba 19.
RATIBA:
BPL: LIGI KUU ENGLAND
[Saa za Bongo]
MECHI ZIJAZO:
Jumamosi 19 Oktoba
14:45 Newcastle United v Liverpool
17:00 Arsenal v Norwich City
17:00 Chelsea v Cardiff City
17:00 Everton v Hull City
17:00 Manchester United v Southampton
17:00 Stoke City v West Bromwich Albion
17:00 Swansea City v Sunderland
19:30 West Ham United v Manchester City
Jumapili 20 Oktoba
18:00 Aston Villa v Tottenham Hotspur
Jumatatu 21 Oktoba
22:00 Crystal Palace v Fulham
++++++++++++++++++++++++++
MSIMAMO:
NA |
TIMU |
P |
GD |
PTS |
1 |
Arsenal |
7 |
6 |
16 |
2 |
Liverpool |
7 |
6 |
16 |
3 |
Chelsea |
7 |
6 |
14 |
4 |
Southampton |
7 |
5 |
14 |
5 |
Man City |
7 |
9 |
13 |
6 |
Tottenham |
6 |
4 |
13 |
7 |
Everton |
7 |
1 |
12 |
8 |
Hull |
7 |
-1 |
11 |
9 |
Man Utd |
7 |
1 |
10 |
10 |
Aston Villa |
7 |
1 |
10 |
11 |
Newcastle |
7 |
-3 |
10 |
12 |
West Brom |
7 |
1 |
9 |
13 |
West Ham |
7 |
2 |
8 |
14 |
Cardiff |
7 |
-2 |
8 |
15 |
Swansea |
7 |
-3 |
7 |
16 |
Stoke |
7 |
-3 |
7 |
17 |
Fulham |
7 |
-4 |
7 |
18 |
Norwich |
7 |
-4 |
7 |
19 |
Crystal Palace |
7 |
-8 |
3 |
20 |
Sunderland |
7 |
-11 |
1 |
0 comments:
Post a Comment