MAUAJI YA BODABODA
Mtu mmoja ambaye hakufahamika jina lake halisi ni dereva wa boda boda na mkazi wa Mbezi anayepaki eneo la posta ya zamani anayemiliki pikipiki aina ya Boxer mpya na ya kisasa
alipata Abiria mida ya Saa nne usiku wa kumpeleka Mwananyamala lakini abiria huyo alikuwa jambazi baada ya kumfikisha huko mwananyamala alimpiga risasi na dereva huyo kupoteza maisha papo hapo na jambazi hilo kukimbia na pikipiki hiyo aina ya Boxer

Hawa ni baadhi ya watu waliokuwa eneo hilo kwa ajili ya kumpa msaada
Hapa wakimwondoa eneo la tukio
0 comments:
Post a Comment