Services
Monday, 29 September 2014
Friday, 27 December 2013
Mahusiano
DALILI
ZA NDOA INAYOKUFA
DALILI
ZA NDOA INAYOKUFA
Jitahidi kuhakikisha unalinda moyo
wako na moyo wa mpenzi wako; usije ukaupasua na kuuumiza.
Wanandoa wengi hujikuta wamefika
mahali ambapo ndoa haiwezi kuwepo tena (talaka) na tatizo kubwa ni kwamba wengi
hukaa bila kuchukua hatua zinazostahili (serious) wakati tatizo au mgogoro
unapojitokeza ili kumaliza tatizo
Kutoshughulikia vizuri tatizo lolote
kwenye ndoa hupelekea Chuki, Uchungu, Kinyongo, Kuumia hisia na huweza
kusababisha mwanandoa mmoja kujiondoa katika muungano wa kindoa uliopo (kuanza
kuishi kivyake katika kufikiria na kutenda).
Tuesday, 3 December 2013
HABARI
MAUAJI YA BODABODA
Mtu mmoja ambaye hakufahamika jina lake halisi ni dereva wa boda boda na mkazi wa Mbezi anayepaki eneo la posta ya zamani anayemiliki pikipiki aina ya Boxer mpya na ya kisasa
Monday, 2 December 2013
DR LOVE
DR LOVE....
alikuwa ni kijana mpole tena mwenye kuheshimika na kila mtu alifanya kazi yakushauri wenye matatizo ya kimapenzi na hata kutoa elimu juu ya kuimarisha
upendo kwa walio kwenye mahusiano ya kimapenzi aliandika vitabu vya story za
mahaba maneno yaliyoandikwa yalikuwa yanahisia kila msichana aliyesoma
alitamani sana kuwa naye kimapenzi kwani maneno yake yalikuwa yakujali yakuthamini
na ya upendo tatizo kubwa alilokuwa nalo alishindwa kuishi na msichana yeyote
ambaye aliingia naye kwenye mahusiano ya kimapenzi kwa sababu yale
aliyoyaandika na kuyajua alishindwa kuyatumia kwa mpenzi wake hakumjali wala
alikuwa hawezi kutamka maneno mazuri ya mahaba pindi anapokuwa na mpenz
wake.........
UNATAKA KUJUA UNDANI WA MAISHA YA DR LOVE? FUATILIA
Subscribe to:
Posts (Atom)