Connection

Services

Computer Maintanance

Computer Supply

Laptop Repair

Networking Installation



Learn more

Thursday, 22 August 2013

Filled Under:

HABARI

Share
NEY WA MITEGO KUFIKISHWA MAHAKAMANI NA MADAM RITA KISA UONGO ALIOUTOA KATIKA WIMBO WAKE INGIA USOME ALICHOKISEMA MADAM RITA

Baada ya Ney Wa Mitego kutoa Track ya Salam Zao, Kuna tetesi Kuwa Muandaaji wa BSS Madam Rita anampango kumfungulia Kesi ya Madai Ney wa Mitego kwa Kumchafua (Defamation) kwani eti alisema Madam Rita huwa hatoi zawad anazoziahidi kwa washindi wa shindano lake la kusaka Vipaji, Je Kama ni kweli kuhusu Kesi hii Ney wa mitego ataweza kulipa milioni 500? Tayari msanii huyo amesema yuko tayari kwenda mahakamani na ataweka mwanasheria wa kumtetea.

0 comments:

Post a Comment

2014 © Movieism
RealMag theme by Templateism