Connection

Services

Computer Maintanance

Computer Supply

Laptop Repair

Networking Installation



Learn more

Monday, 16 September 2013

Filled Under:

MICHEZO

Share

HIZI NDIZO PICHA ZA RAY KIGOSI SI AKATAKA AFUNDISHWE NA DIAMOND HOW TO DO NGOLOLO..!!!CHECK HAPA.

 
Hii ilikuwa juzi baada ya kufanya Unyama wake
kwenye show ya Kili music tour Leaders,wakati analejea
 nyumbani ilimbidi apitie nyumbani kwa Baba ya bongo movies,Ray kigosi kumsalimia kidogo,ile anafika tu akamkuta ana hangaika kudance
Ngololo,sijui na yeye anataka Ipad..ha ah ha ....!!!

                                                Hatuendi hivyo baba...utacheza kiduku bure..


 Tunafanyaga hivi.........


                                            Usiku mwema..hii michezo huiwezi tuachie sisi....

0 comments:

Post a Comment

2014 © Movieism
RealMag theme by Templateism