TRAFIKI ANUSURIKA KICHAPO KUTOKA KWA WAENDESHA BODABODA TANGA
Trafiki akizozana na dereva Bodaboda aliyevunja sheria katika stendi kuu ya mabasi mkoani Tanga.
...Askari akiingilia kati kumnusuru trafiki baada ya dereva Bodaboda kuanza kumzonga.…
Askari aina wa tigo hakuwa mbali na bunduki yake
Baada ya bodaboda kushindwa kuyamaliza huko huko barabarani askari akaona isiwe tabu akaikokota na kuelekea kituo cha polisi
0 comments:
Post a Comment