AUDIO;LEO NDANI YA XXL DIAMOND AKIZUNGUMZIA RASMI KUHUSU YOTE YALIYOZUNGUMZWA KUHUSU KUIBA WIMBO WA # ONE

DIAMOND ALIYAZUNGUMZIA HAYA LEO
Siku ya leo mchana ndani ya kipindi cha xxl cha Clouds,nilikuwa
ninatambulisha rasmi,Audio ya wimbo wangu
mpya wa Number 1.
ambapo pia nilipata fursa ya
yakizungumzwa kuhusu mimi,kuanzia swala la madai ya
Dayna na Baba levo
pamoja na tuhuma za binti aliyedai ana mtoto wangu.so
kwa wewe shabiki yangu ambaye hukupata nafasi ya
kuniskiliza.sikiliza audio ya mahojiano yangu kupitia hapa hapa.
Kumbuka tu kuwa,usiamini chochote ambacho sijakitamka mimi rasmi.
NA WATUWACHE TULALE....
0 comments:
Post a Comment