BPL: NEWCASTLE, LIVERPOOL SARE 2-2!
>>GERRARD APIGA BAO LA 100 KWENYE LIGI!
RATIBA/MATOKEO:
Jumamosi 19 Oktoba
Newcastle United 2 Liverpool 2
[Saa za Bongo]
17:00 Arsenal v Norwich City
17:00 Chelsea v Cardiff City
17:00 Everton v Hull City
17:00 Manchester United v Southampton
17:00 Stoke City v West Bromwich Albion
17:00 Swansea City v Sunderland
19:30 West Ham United v Manchester City
++++++++++++++++
LEO, Uwanjani St James Park, Newcastle zilitoka Sare ya Bao 2-2 katika Mechi ya BPL, Ligi Kuu
England,
na kuifanya Liverpool itwae uongozi wa Ligi, pengine kwa muda tu, huku
Nahodha wao Steven Gerrard akifunga kwa Penati na hilo ni Bao lake la
100 kwenye Ligi na kumfanya awe Mchezaji wa 24 kufikisha Bao 100 au
zaidi kwenye BPL.

++++++++++++++++
MAGOLI:
Newcastle 2
-Cabaye Dakika ya 23
-Dummett 56
Liverpool 2
-Gerrard Dakika ya 42 (Penati)
-Sturridge 72
++++++++++++++++
Newcastle ndio walitangulia kufunga
katika Dakika ya 39 kwa mzinga mkali wa Mita 25 wa Yohan Cabaye na
kwenye Dakika ya 39 Mapou Yanga-Mbiwa alipewa Kadi Nyekundu kwa
kumwangusha Luis Suarez na pia kutolewa Penati ambayo Steven Gerrard
++++++++++++++++
WAFUNGAJI BORA LIGI KUU ENGLAND [Goli 100 na zaidi]:
260 - Alan Shearer
187 - Andy Cole
175 - Thierry Henry
166 - Frank Lampard
163 - Robbie Fowler
159 - Wayne Rooney
150 - Michael Owen
149 - Les Ferdinand
146 - Teddy Sheringham
127 - Jimmy Floyd Hasselbaink
126 - Robbie Keane
125 - Robin van Persie
123 - Jermain Defoe, Dwight Yorke, Nicolas Anelka
113 - Ian Wright
111 - Dion Dublin
110 - Emile Heskey
109 - Ryan Giggs
107 - Paul Scholes
105 - Darren Bent
100 - Matt Le Tissier, Didier Drogba, Steven Gerrard
++++++++++++++++
Paul Dummet aliipa Bao la Pili Newcastle lakini Daniel Sturridge akasawazisha baada ya krosi nzuri ya Luis Suarez.
VIKOSI:
Newcastle: Krul, Debuchy, Yanga-Mbiwa, Williamson, Santon, Cabaye, Tiote, Sissoko, Gouffran, Ben Arfa, Remy
Akiba: Elliot, Dummett, Anita, Obertan, Sammy Ameobi, Shola Ameobi, Cisse.
Liverpool: Mignolet, Johnson, Cissokho, Toure, Skrtel, Sakho, Henderson, Gerrard, Moses, Suarez, Sturridge
Akiba: Jones, Agger, Kelly, Flanagan, Alberto, Sterling, Allen.
RATIBA:
BPL: LIGI KUU ENGLAND
[Saa za Bongo]
Jumapili 20 Oktoba
18:00 Aston Villa v Tottenham Hotspur
Jumatatu 21 Oktoba
22:00 Crystal Palace v Fulham
0 comments:
Post a Comment